Yona 3:6
Yona 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Habari hizi zikamfikia mfalme wa Ninewi, naye akaondoka katika kiti chake cha enzi, akavua vazi lake rasmi, akajivika vazi la gunia na kuketi katika majivu.
Shirikisha
Soma Yona 3Yona 3:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Habari ikamfikia mfalme wa Ninawi, naye akaondoka katika kiti chake cha enzi, akavua vazi lake, akajivika nguo za magunia, na kuketi katika majivu.
Shirikisha
Soma Yona 3