Yona 3:4
Yona 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Alipowasili, Yona aliingia mjini, na baada ya kutembea mwendo wa siku nzima, akaanza kutangaza: “Bado siku arubaini tu na mji huu wa Ninewi utaangamizwa!”
Shirikisha
Soma Yona 3Yona 3:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yona akaanza kuuingia mji mwendo wa siku moja, akapaza sauti yake, akasema, Baada ya siku arubaini Ninawi utaangamizwa.
Shirikisha
Soma Yona 3