Yona 3:2
Yona 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nenda Ninewi, ule mji mkuu, ukawatangazie watu ujumbe niliokupa.”
Shirikisha
Soma Yona 3Yona 3:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa; ukaihubiri habari nitakayokuamuru.
Shirikisha
Soma Yona 3