Yona 1:4
Yona 1:4 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Ndipo BWANA akatuma upepo mkali baharini, nayo dhoruba kali sana ikavuma hata meli ikawa hatarini ya kuvunjika.
Shirikisha
Soma Yona 1Yona 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mwenyezi-Mungu akavumisha upepo mkali baharini, ikatokea dhoruba kali, meli ikawa karibu kabisa kuvunjika.
Shirikisha
Soma Yona 1Yona 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini BWANA alituma upepo mkuu baharini, ikawa tufani kubwa baharini, hata merikebu ikawa karibu kuvunjika.
Shirikisha
Soma Yona 1