Yona 1:10
Yona 1:10 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hili liliwaogopesha nao wakamuuliza, “Umefanya nini?” (Walijua alikuwa anamkimbia BWANA, kwa sababu alishawaambia hivyo.)
Shirikisha
Soma Yona 1Yona 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yona akawaeleza kwamba alikuwa anamkwepa Mwenyezi-Mungu. Kusikia hayo, mabaharia hao wakazidi kujawa na hofu, wakamwambia, “Umefanya nini wewe!”
Shirikisha
Soma Yona 1Yona 1:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo watu wale wakaogopa mno, wakamwambia, Ni jambo gani hili ulilolitenda! Kwa maana watu wale walijua ya kuwa amekimbia, ajiepushe na uso wa BWANA, kwa sababu alikuwa amewaambia.
Shirikisha
Soma Yona 1