Yoeli 3:14
Yoeli 3:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanafika makundi kwa makundi kwenye bonde la Hukumu, maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia.
Shirikisha
Soma Yoeli 3Yoeli 3:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umati mkubwa, umati mkubwa, wamo katika bonde la kukata kauli! Kwa maana siku ya BWANA i karibu, katika bonde la kukata kauli.
Shirikisha
Soma Yoeli 3