Yoeli 2:29-30
Yoeli 2:29-30 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata juu ya watumishi wa kiume na wa kike, nitaimimina roho yangu wakati huo. “Nitatoa ishara mbinguni na duniani; kutakuwa na damu, moto na minara ya moshi.
Shirikisha
Soma Yoeli 2Yoeli 2:29-30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina roho yangu. Nami nitaonesha mambo ya ajabu katika mbingu na katika dunia, damu, na moto, na minara ya moshi.
Shirikisha
Soma Yoeli 2