Yoeli 2:23
Yoeli 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)
“Furahini, enyi watu wa Siyoni, shangilieni kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, maana amewapeni mvua za masika, amewapeni mvua ya kutosha: Mvua za masika na mvua za vuli kama hapo awali.
Shirikisha
Soma Yoeli 2Yoeli 2:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Furahini, basi, enyi wana wa Sayuni, mkamfurahie BWANA, Mungu wenu; kwa kuwa yeye huwapa ninyi mvua ya masika, kwa kipimo cha haki, naye huwanyeshea mvua, mvua ya masika, na mvua ya vuli, kama awali.
Shirikisha
Soma Yoeli 2