Yoeli 2:15
Yoeli 2:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Pigeni tarumbeta katika Sayuni, Takaseni saumu, kusanyeni kusanyiko kuu
Shirikisha
Soma Yoeli 2Yoeli 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Pigeni tarumbeta huko Siyoni! Toeni amri watu wafunge; itisheni mkutano wa kidini.
Shirikisha
Soma Yoeli 2