Yoeli 2:14
Yoeli 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Huenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atabadili nia na kuwapeni baraka ya mazao, mkamtolea sadaka za nafaka na kinywaji.
Shirikisha
Soma Yoeli 2Yoeli 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani ajuaye kwamba hatarudi na kugeuka, na kutuachia baraka nyuma yake, naam, sadaka ya unga, na sadaka ya kinywaji, kwa BWANA, Mungu wenu?
Shirikisha
Soma Yoeli 2