Yoeli 1:3
Yoeli 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Wasimulieni watoto wenu jambo hili, nao wawasimulie watoto wao, na watoto wao wakisimulie kizazi kifuatacho.
Shirikisha
Soma Yoeli 1Yoeli 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waambieni watoto wenu habari yake, Watoto wenu wakawaambie watoto wao, Na watoto wao wakakiambie kizazi kingine.
Shirikisha
Soma Yoeli 1