Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 8:20-22 - Compare All Versions

Yobu 8:20-22 BHN (Biblia Habari Njema)

“Tazama! Mungu hatamkataa mtu asiye na hatia, wala kuwasaidia waovu. Ila atakijaza kinywa chako kicheko, na midomo yako sauti ya furaha. Wale wakuchukiao wataingiwa na aibu, makao ya waovu yatatoweka kabisa.”

Shirikisha
Yobu 8 BHN

Yobu 8:20-22 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Tazama, Mungu hatamtupa mtu mkamilifu, Wala hatawathibitisha watendao uovu. Bado atakijaza kinywa chako kicheko, Na midomo yako ataijaza shangwe. Hao wakuchukiao watavikwa aibu; Nayo hema yake mwovu haitakuwako tena.

Shirikisha
Yobu 8 SRUV

Yobu 8:20-22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Tazama, Mungu hatamtupa mtu mkamilifu, Wala hatawathibitisha watendao uovu. Bado atakijaza kinywa chako kicheko, Na midomo yako ataijaza shangwe. Hao wakuchukiao watavikwa aibu; Nayo hema yake mwovu haitakuwako tena.

Shirikisha
Yobu 8 SUV

Yobu 8:20-22 NEN (Neno)

“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia, wala kuitia nguvu mikono ya mtenda maovu. Bado atakijaza kinywa chako na kicheko, na midomo yako na kelele za shangwe. Adui zako watavikwa aibu, nayo mahema ya waovu hayatakuwepo tena.”

Shirikisha
Yobu 8 NEN