Yobu 7:9-10
Yobu 7:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama wingu lififiavyo na kutoweka ndivyo nao watu washukavyo kuzimu bila kurudi. Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi husahaulika mara.
Shirikisha
Soma Yobu 7Yobu 7:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama vile wingu likomavyo na kutoweka, Ndivyo alivyo huyo ashukaye kuzimuni, hatazuka tena kabisa. Hatarudi tena nyumbani kwake, Wala mahali pake hapatamjua tena.
Shirikisha
Soma Yobu 7