Yobu 7:6-7
Yobu 7:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku zangu zapita kasi kuliko gurudumu la mshonaji, nazo zafikia mwisho wake bila matumaini. “Kumbuka, maisha yangu ni pumzi tu; jicho langu halitaona jema lolote tena.
Shirikisha
Soma Yobu 7Yobu 7:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku zangu hupita upesi kuliko chombo cha kufumia, Nazo zapita pasipokuwa na matumaini. Kumbuka ya kwamba maisha yangu ni upepo; Jicho langu halitaona mema tena.
Shirikisha
Soma Yobu 7