Yobu 42:5-6
Yobu 42:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli nilikuwa nimesikia habari zako kwa masikio tu, lakini sasa nakuona kwa macho yangu mwenyewe. Kwa hiyo natubu pamoja na kujipaka mavumbi na majivu, najiona mimi mwenyewe kuwa si kitu kabisa.”
Shirikisha
Soma Yobu 42Yobu 42:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nilikuwa nimesikia habari zako, kwa kusikia kwa masikio; Bali sasa jicho langu linakuona. Kwa sababu hiyo najichukia nafsi yangu, na kutubu Katika mavumbi na majivu.
Shirikisha
Soma Yobu 42