Yobu 40:3-5
Yobu 40:3-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yobu akamjibu Mwenyezi-Mungu: “Mimi sifai kitu nitakujibu nini? Naufunga mdomo wangu. Nilithubutu kusema na sitasema tena. Nilisisitiza lakini sitaendelea kusema zaidi.”
Shirikisha
Soma Yobu 40Yobu 40:3-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Ayubu akamjibu Mungu, na kusema, Tazama, mimi si kitu kabisa, nikujibu nini? Naweka mkono wangu kinywani pangu. Nimenena mara moja, nami sitajibu; Naam, nimenena mara mbili, lakini sitaendelea zaidi.
Shirikisha
Soma Yobu 40