Yobu 39:1-2
Yobu 39:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Je, wajua mbuzi wa milimani huzaa lini, au umewahi kuona kulungu akizaa? Je, wajua huchukua mimba kwa muda gani, au siku yenyewe ya kuzaa waijua?
Shirikisha
Soma Yobu 39Yobu 39:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Wajua majira ya kuzaa kwao mbuzi-mwitu walio majabalini? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu? Je! Waweza kuhesabu miezi yao watakayoitimiza? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu?
Shirikisha
Soma Yobu 39