Yobu 38:19 - Compare All Versions
Yobu 38:19 BHN (Biblia Habari Njema)
“Je, makao ya mwanga yako wapi? Nyumbani kwa giza ni wapi
Shirikisha
Yobu 38 BHNYobu 38:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Iko wapi njia ya kuyafikia makao ya nuru? Na giza pia, mahali pake ni wapi?
Shirikisha
Yobu 38 SRUVYobu 38:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Iko wapi njia ya kuyafikia makao ya nuru? Na giza pia, mahali pake ni wapi?
Shirikisha
Yobu 38 SUVYobu 38:19 NEN (Neno)
“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako maskani mwa giza ni wapi?
Shirikisha
Yobu 38 NEN