Yobu 35:10
Yobu 35:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu, Muumba wangu, mwenye kunifanya niwe mchangamfu usiku
Shirikisha
Soma Yobu 35Yobu 35:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala hapana asemaye, Yuko wapi Mungu Muumba wangu, Awapaye nyimbo wakati wa usiku
Shirikisha
Soma Yobu 35