Yobu 34:10-11
Yobu 34:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa hiyo nisikilizeni, enyi wenye ujuzi. Mungu kamwe hawezi kufanya uovu; Mungu Mwenye Nguvu hawezi kufanya kosa. Mungu atamlipa mtu kadiri ya matendo yake, atamlipiza kulingana na mwenendo wake.
Shirikisha
Soma Yobu 34Yobu 34:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo nisikilizeni, enyi wenye fahamu; Mungu asidhaniwe kutenda udhalimu; Wala Mwenyezi kufanya uovu. Kwani atamlipa binadamu kwa kazi yake, Naye atamfanya kila mtu kuona kulingana na njia zake.
Shirikisha
Soma Yobu 34