Yobu 33:6-7
Yobu 33:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe na mimi ni sawa mbele ya Mungu; mimi pia niliumbwa kwa sehemu ya udongo. Kwa hiyo huna sababu ya kuniogopa; maneno yangu mazito hayatakulemea.
Shirikisha
Soma Yobu 33Yobu 33:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, mimi ni mbele ya Mungu kama ulivyo wewe; Mimi nami nilifinyangwa katika udongo. Tazama, utisho wangu hautakutia hofu wewe, Wala sitakulemea kwa uzito.
Shirikisha
Soma Yobu 33