Yobu 3:26
Yobu 3:26 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Sina amani, wala utulivu; sina pumziko, bali taabu tu.”
Shirikisha
Soma Yobu 3Yobu 3:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Sina amani wala utulivu; sipumziki, taabu imenijia.”
Shirikisha
Soma Yobu 3Yobu 3:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi sioni raha, wala situlii, wala kupumzika; Lakini taabu huja.
Shirikisha
Soma Yobu 3