Yobu 27:3-4
Yobu 27:3-4 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu, nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu, midomo yangu haitanena uovu, wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu.
Shirikisha
Soma Yobu 27Yobu 27:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Naapa kuwa kadiri ninavyoweza kupumua, roho ya Mungu ikiwa bado ndani yangu; midomo yangu kamwe haitatamka uongo, wala ulimi wangu kusema udanganyifu.

Soma Yobu 27Yobu 27:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
(Kwa kuwa uhai wangu ungali mzima ndani yangu, Na Roho ya Mungu iko katika pua yangu;) Hakika midomo yangu haitanena yasiyo haki, Wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu.
Shirikisha
Soma Yobu 27