Yobu 22:27-28
Yobu 22:27-28 Biblia Habari Njema (BHN)
utamwomba naye atakusikiliza, nawe utazitimiza nadhiri zako. Chochote utakachoamua kitafanikiwa, na mwanga utaziangazia njia zako.
Shirikisha
Soma Yobu 22Yobu 22:27-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utamwomba yeye naye atakusikia; Nawe utazitimiliza nadhiri zako. Nawe utakusudia neno, nalo litathibitika kwako; Na mwanga utaziangazia njia zako.
Shirikisha
Soma Yobu 22