Yobu 2:12
Yobu 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipomwona kwa mbali hawakumtambua. Basi, wakaanza kupaza sauti na kulia; waliyararua mavazi yao, wakarusha mavumbi angani na juu ya vichwa vyao.
Shirikisha
Soma Yobu 2Yobu 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi walipoinua macho yao, wakiwa bado kwa mbali, wasimtambue, wakainua sauti zao na kulia; kila mmoja akararua joho lake, wakarusha mavumbi juu ya vichwa vyao kuelekea mbinguni.
Shirikisha
Soma Yobu 2