Yobu 19:26-27
Yobu 19:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi, Lakini, pasipokuwa na mwili wangu nitamwona Mungu; Nami nitamwona mimi nafsi yangu, Na macho yangu yatamtazama, wala si mwingine. Mtima wangu unazimia ndani yangu!
Shirikisha
Soma Yobu 19Yobu 19:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivyo, nitamwona Mungu kwa macho yangu mwenyewe. Mimi mwenyewe nitakutana naye; mimi mwenyewe na si mwingine nitamwona kwa macho.
Shirikisha
Soma Yobu 19Yobu 19:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Soma Yobu 19