Yobu 17:9-10
Yobu 17:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo, mnyofu hushikilia msimamo wake, mtu atendaye mema huzidi kuwa na nguvu zaidi. Lakini nyinyi njoni, njoni nyote tena, kwenu sitampata mwenye hekima hata mmoja.
Shirikisha
Soma Yobu 17Yobu 17:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mwenye haki ataishika njia yake, Naye mwenye mikono safi atazidi kupata nguvu. Lakini rudini; ninyi nyote, njoni sasa; Wala sitampata mtu mwenye hekima kati yenu.
Shirikisha
Soma Yobu 17