Yobu 16:20-21
Yobu 16:20-21 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mwombezi wangu ni rafiki yangu macho yangu yanapomwaga machozi kwa Mungu; kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake.
Shirikisha
Soma Yobu 16Yobu 16:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Rafiki zangu wanidharau; nabubujika machozi kumwomba Mungu. Laiti mtu angenitetea mbele ya Mungu, kama ifanyikavyo duniani kati za watu wawili.
Shirikisha
Soma Yobu 16Yobu 16:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Rafiki zangu hunidharau; Lakini jicho langu humwagia Mungu machozi; Laiti angemtolea mtu hoja mbele ya Mungu, Amtetee na mwanadamu mbele ya jirani yake.
Shirikisha
Soma Yobu 16