Yobu 14:1-2
Yobu 14:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mtu ni mtoto tu wa mwanamke; huishi siku chache tena zilizojaa taabu. Huchanua kama ua, kisha hunyauka. Hukimbia kama kivuli na kutoweka.
Shirikisha
Soma Yobu 14Yobu 14:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
Shirikisha
Soma Yobu 14