Yobu 11:16-17
Yobu 11:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Utazisahau taabu zako zote; utazikumbuka tu kama mafuriko yaliyopita. Maisha yako yatangaa kuliko jua la adhuhuri, giza lake litabadilika kuwa mngao wa pambazuko.
Shirikisha
Soma Yobu 11Yobu 11:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa utasahau mateso yako; Utayakumbuka kama maji yaliyokwisha pita; Na maisha yako yatakuwa meupe kuliko adhuhuri; Giza lake litakuwa kama alfajiri.
Shirikisha
Soma Yobu 11Yobu 11:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)

Soma Yobu 11