Yobu 1:20
Yobu 1:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yobu akasimama, akararua mavazi yake, akanyoa nywele zake, akajitupa chini na kumwabudu Mungu.
Shirikisha
Soma Yobu 1Yobu 1:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Ayubu akainuka, akalirarua joho lake, kisha akanyoa kichwa chake, na kuanguka chini, na kusujudia
Shirikisha
Soma Yobu 1