Nao wakamjibu, “Je, wewe pia umetoka Galilaya? Haya, kayachunguze Maandiko Matakatifu nawe utaona kwamba Galilaya hakutoki kamwe nabii!” [ Basi, wote wakaondoka, kila mtu akaenda nyumbani
Wakamjibu, “Je, wewe pia unatoka Galilaya? Chunguza nawe utaona kwamba hakuna nabii atokae Galilaya!” [ Kisha wakaondoka, kila mtu akarudi nyumbani mwake.
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video