Yohane 6:17
Yohane 6:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
wakapanda chomboni, wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaumu. Nako kumekwisha kuwa giza, wala Yesu hajawafikia.
Shirikisha
Soma Yohane 6Yohane 6:17 Biblia Habari Njema (BHN)
wakapanda mashua ili wavuke kwenda Kafarnaumu. Giza lilikuwa limeingia, na Yesu alikuwa hajawafikia bado.
Shirikisha
Soma Yohane 6