Yohane 5:3
Yohane 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Humo barazani mlikuwa na wagonjwa wengi wamekaa: Vipofu, viwete na waliopooza. [Walikuwa wakingojea maji yatibuliwe
Shirikisha
Soma Yohane 5Yohane 5:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndani ya hayo jamii kubwa ya wagonjwa walikuwa wamelala, vipofu, viwete, nao waliopooza, [wakingoja maji yachemke.
Shirikisha
Soma Yohane 5