Yohane 3:6-7
Yohane 3:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa Roho. Usistaajabu kwamba nimekuambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya.
Shirikisha
Soma Yohane 3Yohane 3:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho. Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, Hamna budi kuzaliwa mara ya pili.
Shirikisha
Soma Yohane 3