Yohane 3:20 - Compare All Versions
Yohane 3:20 BHN (Biblia Habari Njema)
Kila mtu atendaye maovu anauchukia mwanga, wala haji kwenye mwanga, maana hapendi matendo yake maovu yamulikwe.
Shirikisha
Yohane 3 BHNYohane 3:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.
Shirikisha
Yohane 3 SRUVYohane 3:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.
Shirikisha
Yohane 3 SUVYohane 3:20 NEN (Neno)
Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe.
Shirikisha
Yohane 3 NEN