Yohane 20:16
Yohane 20:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yesu akamwambia, Mariamu. Yeye akageuka, akamwambia kwa Kiebrania, Raboni! (Yaani, Mwalimu wangu).
Shirikisha
Soma Yohane 20Yohane 20:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamwambia, “Maria!” Naye Maria akageuka, akamwambia kwa Kiebrania, “Raboni” (yaani “Mwalimu”).
Shirikisha
Soma Yohane 20