Yohane 20:11
Yohane 20:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Maria alikuwa amesimama nje ya kaburi, akilia. Huku akiwa bado analia, aliinama na kuchungulia kaburini
Shirikisha
Soma Yohane 20Yohane 20:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Mariamu alikuwa akisimama karibu na kaburi, nje yake, analia. Wakati alipokuwa akilia, aliinama na kuchungulia ndani ya kaburi.
Shirikisha
Soma Yohane 20