Yohane 19:2
Yohane 19:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.
Shirikisha
Soma Yohane 19Yohane 19:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao askari wakasokota taji la miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi la zambarau.
Shirikisha
Soma Yohane 19