Yohane 19:17
Yohane 19:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akatoka akiwa amejichukulia msalaba wake kwenda mahali paitwapo “Fuvu la Kichwa” (kwa Kiebrania Golgotha).
Shirikisha
Soma Yohane 19Yohane 19:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akatoka, huku akijichukulia msalaba wake, mpaka mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, au kwa Kiebrania, Golgotha.
Shirikisha
Soma Yohane 19