Yohane 17:6-7
Yohane 17:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nimekufanya ujulikane kwa watu wale ulionipa kutoka duniani. Walikuwa watu wako, nawe ukanipa wawe wangu; nao wamelishika neno lako. Sasa wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako.
Shirikisha
Soma Yohane 17Yohane 17:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jina lako nimewadhihirishia watu wale ulionipa katika ulimwengu; walikuwa wako, ukanipa mimi, na neno lako wamelishika. Sasa wamejua ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako.
Shirikisha
Soma Yohane 17