Yohane 14:5-6
Yohane 14:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Thoma akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda, tutawezaje basi, kuijua hiyo njia?” Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai. Hakuna awezaye kwenda kwa Baba ila kwa kupitia kwangu.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi tunaijuaje njia? Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia? Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Shirikisha
Soma Yohane 14