Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 14:3-4 - Compare All Versions

Yohane 14:3-4 BHN (Biblia Habari Njema)

Na nikienda na kuwatayarishieni nafasi, nitarudi na kuwachukueni kwangu, ili nanyi muwe pale nilipo mimi. Mnajua njia ya kwenda huko ninakokwenda.”

Shirikisha
Yohane 14 BHN

Yohane 14:3-4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo. Nami niendako mwaijua njia.

Shirikisha
Yohane 14 SRUV

Yohane 14:3-4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo. Nami niendako mwaijua njia.

Shirikisha
Yohane 14 SUV

Yohane 14:3-4 NEN (Neno)

Nami nikienda na kuwaandalia makao, nitarudi tena na kuwachukua mkae pamoja nami, ili mahali nilipo nanyi mpate kuwepo. Ninyi mnajua njia ya kufika ninakoenda.”

Shirikisha
Yohane 14 NEN