Yohane 14:3
Yohane 14:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Na nikienda na kuwatayarishieni nafasi, nitarudi na kuwachukueni kwangu, ili nanyi muwe pale nilipo mimi.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.
Shirikisha
Soma Yohane 14