Yohane 14:23
Yohane 14:23 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Yesu akamjibu, “Mtu yeyote akinipenda atalishika neno langu na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake na kufanya makao yetu kwake.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamjibu, “Mtu akinipenda atashika neno langu, na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja kwake na kukaa naye.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
Shirikisha
Soma Yohane 14