Yohane 14:2,6
Yohane 14:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama isingekuwa hivyo, ningalikwisha waambieni. Sasa nakwenda kuwatayarishieni nafasi.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai. Hakuna awezaye kwenda kwa Baba ila kwa kupitia kwangu.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohana 14:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yn 14:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Nyumbani mwa Baba yangu kuna makao mengi. Kama sivyo, ningewaambia. Naenda kuwaandalia makao.
Shirikisha
Soma Yohane 14