Yohane 13:3-4
Yohane 13:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alijua kwamba Baba alikuwa amemkabidhi kila kitu, na kwamba alikuwa ametoka kwa Mungu na anarudi kwa Mungu. Basi, aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.
Shirikisha
Soma Yohane 13Yohane 13:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu, huku akijua ya kuwa Baba amempa vyote mikononi mwake, na ya kuwa alitoka kwa Mungu naye anakwenda kwa Mungu, aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni.
Shirikisha
Soma Yohane 13