Yohane 12:20
Yohane 12:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kulikuwa na Wagiriki kadhaa miongoni mwa watu waliokuwa wamefika Yerusalemu kuabudu wakati wa sikukuu hiyo.
Shirikisha
Soma Yohane 12Yohane 12:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Palikuwa na Wagiriki kadhaa miongoni mwa watu waliokwea kwenda kuabudu kwenye sikukuu.
Shirikisha
Soma Yohane 12