Yohane 11:52
Yohane 11:52 Biblia Habari Njema (BHN)
na wala si kwa ajili yao tu, bali pia apate kuwaleta pamoja watoto wa Mungu waliotawanyika.
Shirikisha
Soma Yohane 11Yohane 11:52 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala si kwa ajili ya taifa hilo tu; lakini pamoja na hayo awakusanye watoto wa Mungu waliotawanyika, ili wawe wamoja.
Shirikisha
Soma Yohane 11