Yohane 11:41
Yohane 11:41 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wakaliondoa lile jiwe. Yesu akatazama juu mbinguni, akasema, “Nakushukuru Baba kwa kuwa wewe wanisikiliza.
Shirikisha
Soma Yohane 11Yohane 11:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
Shirikisha
Soma Yohane 11